iqna

IQNA

daktari ahmed ahmed nuaina
TEHRAN (IQNA)-Daktari Ahmed Ahmed Nuaina ni Qarii mashuhuri wa Qur'ani Misri na anatambuliwa kuwa miongoni wasomaji bora wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3471222    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/19